kupinga uamuzi wa mahakama ya kikatiba ambayo mapema mwezi huu ilitamka kwamba Rais Joseph kabila atasalia madarakani baada ya mda wake kukamilika iwapo uchaguzi hautafanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Licha ya vurugu hizo Serikali jana ilipigwa marufuku katika maeneo mengine ikiwemo mji wa Lubumbashi ambako ndio makazi ya mgombea wa urais wa Upinzani Moise Katumbi.
Mashariki mwa mji wa Goma hali inazidi kuwa mbaya hapo jana,huku waandishi wa habari wakituma ujumbe wa Twitter kwamba jeshi limekuwa likifyatua risasi na kuwazuia raia kuandamana.
Vurugu hizo za mjini Goma zimepelekea mtu mmoja kuripotiwa kuuawa na huku baadhi ya vijana wakikamatwa na jeshi wakituhumiwa kufanya vurugu. = > .
UNGANA NASI FACEBOOK KWA KULIKE PAGE YETU