Mpaka sasa bado moto unaendelea karibu nusu ya kiwanda kimeteketea na magari ya zimamoto yameishiwa maji, wanaendelea kufuata maji mengine na jeshi la polisi limelazimika kutia maji ya katika gari ili kuongeza nguvu kuuzima moto.Taarifa zaidi tujiunge katika taarifa ya habari ya Channel ten. = > .
UNGANA NASI FACEBOOK KWA KULIKE PAGE YETU