Preview
Follow us on
Loading...

Basata yashusha rungu Zito kwa Nay wa Mitego

=>

BARAZA la Sanaa Tnzania (BASATA) wamemfungia rapa maarufu wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini ‘Bongo Fleva’, Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’ kujihusisha na shughuli zozote za muziki kwa muda usiojulikana kutokana na maneno yaliyomo kwenye wimbo wake alioutoa hivi karibuni unaoitwa ‘Pale kati patamu’ kuwa yanakiuka maadili.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mngereza amesema Ney anatakiwa pia kulipa faini ya Sh1 milioni.
= > .

UNGANA NASI FACEBOOK KWA KULIKE PAGE YETU

=>
Newer Posts Older Posts
© Copyright Mwanaudaku | Designed By Code Nirvana
Back To Top