Marufuku hiyo imetangazwa na Baraza la Waganga wa Tiba, Ushauri na Utafiti wa Dawa Asili nchini BAWATA katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
BAWATA ambalo limesajiliwa kisheria Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, limetangaza marufuku hiyo likiwa katika mchakato wa kupata uongozi mpya wa kitaifa katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti mwaka huu. = > .
UNGANA NASI FACEBOOK KWA KULIKE PAGE YETU